1 Kings 11:25

25 aRezoni alikuwa adui wa Israeli kwa muda wote alioishi Sulemani, ukiongezea matatizo yaliyosababishwa na Hadadi. Kwa hiyo Rezoni akatawala katika Aramu
Yaani Shamu (ambayo leo ni Syria).
na alikuwa mkatili kwa Israeli.

Yeroboamu Anaasi Dhidi Ya Sulemani

Copyright information for SwhKC